Mashindano ya teknolojia ya roboti ya wanafunzi wachanga yafanyika Nairobi

  • | Citizen TV
    1,053 views

    Wito umetolewa kwa wizara ya elimu kuboresha utumizi wa Teknolojia hasa miongoni mwa wanafunzi humu nchini ili kuendeleza uchumi wa taifa kupitia Sayansi. Swala hilo na mengine kuhusu uboreshaji wa Teknolojia lilijadiliwa kwa kina kwenye mashindano ya kitaifa ya utumizi wa Roboti miongoni mwa wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari. Seth Olale ana taarifa kamili.