Matukio ya Bajeti | Mwandamaji mmoja akamatwa nje ya hazina kuu

  • | Citizen TV
    5,740 views

    Bajeti ya kwanza ya serikali ya Kenya Kwanza ilisubiriwa kwa hamu na ghamu na wakenya wote. Siku ya kusomwa kwa bajeti hiyo ya shillingi trillioni 3.6 ikisheheni matukio ya kila aina kutoka kukamatwa kwa mwandamanaji mmoja, mapambo ya jengo la hazina ya kitaifa na umati mkubwa uliopiga foleni katika barabara ya harambee hadi bunge