'Mbegu ambazo tumezingua zinafaida kubwa ikiwemo kupunguza kasi ya uzee'

  • | BBC Swahili
    426 views
    Kituo cha Utafiti wa kilimo, TARI-Ilonga, nchini Tanzania kimegundua mbegu ya mtama inayoweza kuzuia saratani, magonjwa ya moyo na kupunguza kasi ya uzee. Mwandishi wa BBC Yusuph Mazimu alitembelea kituo hiko na kuandaa taarifa hii. 🎥Nicholaus Mtenga #bbcswahili #tanzania #nafaka