Mbunge wa Embakasi Mashariki aachiliwa kwa dhamana

  • | Citizen TV
    2,941 views

    Mbunge wa Embakasi East Babu Owino ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki moja baada ya kushtakiwa mahakamani Nairobi pamoja na washukiwa wengine sita kwa kuhusika katika mipango ya maandamano ya upinzani