Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino, na wengine sita wameachiliwa kwa dhamana kila mmoja

  • | KBC Video
    46 views

    Mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino, Calvin Gaucho na wengine watano wameachiliwa kwa dhamana ya shilingi laki moja kila mmoja. Mbunge huyo na washtakiwa wenzake wanatuhumiwa kwa kushiriki vitendo vya uvunjaji sheria. Kwenye uamuzi uliotolewa na hakimu mkuu Lucas Onyina, iliamuliwa kwamba upande wa mashtaka haukuwasilisha sababu za kuwanyima dhamana washukiwa hao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #TheGreatKBC