Meja mstaafu Shadrack Mutia Muiu akumbuka utawala wa malkia

  • | Citizen TV
    1,667 views

    Mfalme Charles wa tatu ametangazwa rasmi kuwa mfalme wa Uingereza katika hafla ya kihistoria iliyofanyika jijini London. Akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyoandaliwa na Baraza la Viongozi lenye jukumu la kumtangaza mfalme, Charles wa tatu alisifia utawala wa mamake akimtaja kama kiongozi shupavu aliyeonyesha mfano wa kuigwa. Serfine Achieng na maelezo ya hafla hiyo maalum ambayo kwa mara ya kwanza iliyoonyeshwa moja kwa moja kwa njia ya runinga