Mhubiri Nabii Yohana wa Tano kutoka Bungoma aratibiwa kuchunguzwa na Polisi

  • | West TV
    377 views
    Idara ya polisi kaunti ya Bungoma imemwagiza muhubiri Nabii Yohana wa tano wa kanisa la Muungano Church For All Nations liloko eneo la Nandolia eneo bunge la Kanduyi kufika katika afisi ya kamanda wa polisi mwezi ujao kuhojiwa kuhusu kanisa lake