Mkurugenzi mkuu KEBS azuru bandari ya Mombasa

  • | Citizen TV
    861 views

    Shirika la kutathmini ubora wa bidhaa nchini kebs sasa linasema limeweka mikakati katika bandari ya Mombasa kuhakikisha kuwa bidhaa zote zinazoingizwa kutoka nje zinafuata taratibu za ukaguzi kikamilifu. Kaimu mkurugenzi mkuu wa KEBS Esther Ngari akizuru bandari ya Mombasa baada ya sakata ya magari kubainika, amesema kuwa mashirika mbalimbali ya serikali pamoja na interpol watakuwa macho kila wakati