'Mohamed Farah si jina langu'

  • | BBC Swahili
    883 views
    Nyota wa Olimpiki Mo Farah afichua siri ya kusafirishwa kinyume cha sheria na kufanyishwa kazi Uingereza akiwa mtoto Asimulia jinsi riadha ilivyokomboa maisha yake kutoka kwenye manyanyaso - - - #riadha #somaliland #MoFarah #bbcswahili