Moto shuleni Mukumu

  • | TV 47
    16 views

    Miezi kadhaa baada ya shule ya wasichana ya mukumu kujipata katika vichwa vya habari kufwatia mchamko wa ugonjwa usiojulikana, bweni moja katika shule hiyo limeteketea na kugeuza majivu mali ya wanafunzi 150.

    Moto huo unadaiwa kuanza wanafunzi wakiwa darasani.

    Wazazi na wanahabari walizuiliwa kuingia katika shule hiyo, huku juhudi za kuufikia usimamizi wa shule hiyo kutathmini kiini cha moto huo zikigonga mwamba.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __