Msimamo mkali wa Ruto kwa majenerali wa Sudan na juhudi za kutafuta suluhu

  • | VOA Swahili
    748 views
    Kenya imejikuta katika hali ngumu katika kuongoza mazungumzo ya amani Sudan, baada ya Rais William Ruto kuchukua msimamo mkali dhidi ya majenerali wanaopigana. Ungana na mwandishi wa VOA akikuletea taarifa kamili kuhusu juhudi hizo. #sudan #majenerali #rais #kenya #williamruto #vita #jeshilasudan #wanamgambowaRSF #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.