Msururu wa maandamano umesababisha vifo na uharibifu wa mali

  • | Citizen TV
    5,392 views

    Msururu wa maandamano umesababisha vifo na uharibifu wa mali, kando na kuibua masuali mengi ambayo hayajapata majibu. Tangu tarehe 20 mwezi Machi maandamano yalipoanza, machafuko yameshuhudiwa huku polisi na waandamanaji wakikabiliana vilivyo.