Muhubiri Ezekiel Odero wa kanisa la New Life Prayer Centre akamatwa maafisa wa DCI

  • | Citizen TV
    17,391 views

    Muhubiri Ezekiel Odero wa kanisa la New Life Prayer centre kaunti ya Kilifi amekamatwa na maafisa wa usalama kuhusiana na tuhuma za vifo vya waumini wa kanisa lake katika eneo la Mavueni kaunti ya Kilifi. Kamishna wa kaunti ya Pwani Rhoda Onyacha anasema kuwa, muhubiri Ezekiel amekamatwa na kikosi cha pamoja cha maafisa wa usalama, siku moja baada ya kuhojiwa kuhusiana na uhusiano wake na muhubiri tata Paul Mackenzie, aliyehusishwa na mauaji ya watu 95 kufikia sasa.