Muungano wa Azimio wakashifu ukatili wa maafisa wa polisi

  • | Citizen TV
    1,658 views

    Hali ya huzuni ilitanda huko Kiminini kaunti ya Trasnzoia katika mazishi ya mfuasi wa Azimio Edward Wanjala aliyeuwawa kwa kupigwa risasi na polisi mtaani kayole wiki iliyopita.