Muungano wa Azimio wataka tume ya IEBC kuwajibika

  • | KBC Video
    24 views

    Muungano wa Azimio la one Kenya alliance sasa unataka tume huru ya uchaguzi IEBC kuelezea kinachoendelea katika tume huku madai ya kuvuruga matayarishoi ya uchaguzi mkuu ujao yakiongeza. Viongozi hao wameitaka tume hiyo kuhakikisha imeandaa uchaguzu wa huru na haki ifikapo agost 9. haya yanajiri huku viongozi Muungano huo wakisisitiza kuwa Mgombea wao wa kiti ha urais hatashiriki katika mjadala wa Urais uliopangwa kufanyika jumanne ijayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #iebc #azimiolaumoja