Mvua Ya Masika: TARDA yasema Bwawa la Masinga ni salama

  • | KBC Video
    58 views

    Hamashauri ya usimamizi wa mto Tana na Athi-TARDA imesema bwawa la Masinga lina muundo thabiti wa kuhimili kiwango kikubwa cha maji kinachoingia bwawani humo kutokana na mvua kubwa inayonyesha humu nchini. Hata hivyo katika hatua ya tahadhari, halmashauri hiyo imemtaka yeyote anayezuru eneo hilo kutokaribia bwawa hilo kwa sababu ya usalama wao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive