Mwalimu anayetuhumiwa kuwanajisi watoto akamatwa mjini Garissa

  • | Citizen TV
    2,574 views

    Mwalimu mmoja mjini Garissa anazuiliwa kwa tuhuma za kuwanajisi wasichana wadogo. Mwalimu huyo Adan Ali anayetuhumiwa kuwanajisi watoto kadhaa wa kike alikamatwa na kufikishwa mahakamani ambapo wapelelezi walipewa muda wa siku 14 kukamilisha uchunguzi. Na kama Feisal Abdulrahman anavyotuarifu, wakereketwa wa haki sasa wanalaumu wazee wa jamii kwa kutaka kusuluhisha kesi hii kwenye mahakama za kijamii