Mwanamke aliyeokolewa katika msitu wa Shakahola na kukataa kula afariki

  • | Citizen TV
    13,554 views

    Zaidi ya familia 200 katika eneo la Mokowe Kaunti ya Lamu zimelazimika kukesha nje kwenye kibaridi usiku wa kuamkia leo baada ya nyumba zao kusombwa na maji ya mafuriko kufuatia mvua kubwa inayoendelea kunyesha kaunti ya Lamu.