Mwanamke Bomba | Velma Tonui anajitolea kutoa huduma za matibabu

  • | Citizen TV
    1,241 views

    Wakati huu ambapo wagonjwa wengi wanataabika kwa kukosa huduma za matibabu kwenye hospitali za umma kufuatia mgomo unaoendelea, afueni inatokana na wauguzi ambao wamejitolea huhakikisha wagonjwa wanapata huduma za msingi.miongoni mwa wauguzi hao ni Velma Tonui anayehudumu katika hospitali ya rufaa ya longisa.mwanadada huyu ambaye kwa wakati mmoja aligonga vichwa vya habari akiwa Londiani ndiye anayetupambia makala yetu ya Mwanamke Bomba hii.