Mzee wa miaka 101 asababishiwa hasara kubwa kwa mzozo wa ardhi na wanawe

  • | West TV
    491 views
    Mzee mmoja wa miaka 101 katika kijiji cha Senende eneo bunge la Hamisi kaunti ya Vihiga anakadiria hasara baada shamba lake la mahindi kuvamiwa na mahindi yote kuvyekwa usiku wa kuamkia leo kwa madai ya mzozo wa shamba unaohusisha wanawe