Ndindi Nyoro: Nitaendelea kushirikiana na viongozi wa marsabit ili kuboresha eneo hilo

  • | KBC Video
    82 views

    Mbunge wa Kiharu ambayo pia ni mwenyekiti wa kamati ya Bajeti katika bunge la kitaifa Ndindi Nyoro amesema ataendelea kushirikiana na viongozi wa kaunti ya Marsabit katika kuboresha kaunti hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News