Neddy Atieno amezindua mpango wa kuchangisha fedha za kusaidia soka ya akina dada nchini Kenya

  • | Citizen TV
    258 views

    Aliyekuwa mshambulizi wa timu ya akina dada ya Ulinzi Stars pamoja na timu ya taifa Harambee Starlets Neddy Atieno amezindua mpango wa kuchangisha fedha za kusaidia soka ya akina dada nchini Kenya. Atieno anawaomba washika dau kutoa shilingi kumi tu kila moja ili kusaidia miradi ya kukuza vipaji vya soka ya akina dada.