Nigeria: Tinubu amsimamisha kazi mkuu wa tume ya kupambana na ufisadi

  • | VOA Swahili
    289 views
    Rais wa Nigeria Bola Tinubu amemsimamisha kazi kwa muda usiojulikana mkuu wa tume ya kupambana na ufisadi. Ungana na mwandishi wetu kwa habari kamili... - #rais #nigeria #bolatinubu #mkuu #tume #kupambananaufisadi #voa #voaswahili #dunianileo - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.