"Nilienda kwa waganga kabla ya kwenda kutibiwa hospitali'

  • | BBC Swahili
    323 views
    Imani potofu katika jamii zinachangia kuongezeka kwa wagonjwa wa saratani haswa wanawake katika ukanda wa Kaskazini Magharibi mwa Tanzania. Wataalamu wa tiba ya saratani wanasema kuwa wagonjwa wengi hufika hospitalini wakiwa kwenye hatua ya juu kwa maana ya kuchelewa tiba. Mwandishi wa BBC @lasteck2023 alifika mkoani Mwanza na kuandaa taarifa hii 🎥 Nicholaus Mtenga #bbcswahili #tanzania #mwanza #saratani #afya #matibabu