'Nilihofia familia yangu'

  • | BBC Swahili
    2,908 views
    Bingwa wa Olimpiki Eliud Kipchoge anasema alihofia maisha ya familia yake wakati wa kampeni ya unyanyasaji mtandaoni dhidi yake iliyomuhusisha kimakosa na kifo cha mwanariadha mwenzake wa Kenya wa mbio za marathon Kelvin Kiptum. Kiptum,aliyekuwa na umri wa miaka 24, alivunja rekodi ya dunia ya Kipchoge ya marathon mjini Chicago Oktoba mwaka jana. #bbcswahili #kenya #marathon Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw