Noordin Haji ajitetea kuhusu kuondoa kesi mahakamani

  • | Citizen TV
    843 views

    Mkurungenzi mkuu wa Mashtaka ya Umma Noordin Haji amedinda ametetea utendakazi wake mbele ya kamati ya bunge kuhusu ulinzi, ujasusi na masuala ya kigeni iliyomhoji baada ya kupendekezwa na rais william ruto kuchukua wadhifa wa mkurugenzi wa idara ya ujasusi. Haji kadhalika ametetea hatua ya kuwaondolea kesi maafisa wakuu serikalini akiwemo Naibu Rais Rigathi Gachagua akisema kuwa kesi alizoondoa hazikuwa na ushahidi wa kutosha