Noordin Haji aondoa kesi dhidi ya viongozi wa mrengo wa Azimio kuhusiana na maandamano

  • | KBC Video
    63 views

    Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji ameondoa kesi dhidi ya viongozi wa muungano wa Azimio One Kenya ambayo yalijumuisha maandamano yasiyo halali na kuharibu mali makusudi. Kupitia kwa wakili wa upande wa mashtaka, Haji aliifahamisha mahakama kwamba kuondolewa kwa kesi hizo kutatoa fursa kwa majadiliano kati ya serikali na upinzani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #maandamano #NoordinHaji