Omtatah na wengine wawasilisha rufaa kupinga utekelezaji wa sheria ya fedha

  • | Citizen TV
    1,211 views

    Seneta wa Busia Okiya Omtatah na watu wengine wanne wamewasilisha rufaa katika Mahakama ya Upeo kupinga uamuzi wa mahakama ya rufaa ulioidhinisha utekelezaji wa sheria ya fedha.