Oscar Omondi kutoka mtaa wa Umoja ashinda shilini 243,241 kutoka Shabiki Supa Jackpot

  • | Citizen TV
    274 views

    Oscar Omondi Kutoka Mtaa Wa Umoja Jijini Nairobi Ndiye Mshindi Wa Juma Hili Wa Bonasi Ya Shabiki Supa Jackpot. Omondi, Ambaye Ni Fundi Wa Magari Amejizolea Shilingi 243,241 Pesa Taslimu Baada Ya Kubashiri Mechi 12/15 Kwa Usahihi. Kitita Cha Supa Jackpot Kimegonga Shilingi Milioni 8.2 Na Zinasonga Hadi Wakati Ambapo Shabiki Atabashiri Mechi Zote 15/15 Kwa Usahihi.