Polisi kufanya msako wa madereva na magari yanayokiuka sheria msimu huu wa Krisimasi

  • | Citizen TV
    584 views

    Waziri wa Usalama Profesa Kithure Kindiki ameaonya kuwa hatua kali zitachukuliwa dhidi ya watakaokiuka sheria za trafiki msimu huu ambapo wakenya wengi wanasafiri kwa sherehe za krismasi na za mwaka mpya. Onyo hilo linajiri huku waziri wa uchukuzi Kipchumba Murkomen akitaka mamlaka mbalimbali zinazosimamia barabara kama vile KeNHA, KURA na KERRA kukagua magari na kuhakikisha magari yanayopita kwenye vituo vya kupima uzani yanafaa kuwa barabarani.watu 4,432 walifariki kutokana na ajali za barabarani mwaka huu.