Polisi waanza uchunguzi baada ya mtoto kuanguka katika kituo kimoja cha burudani eneo la Ruiru

  • | Citizen TV
    2,006 views

    Masuali kuhusu kisa cha mtoto wa miaka saba kuanguka katika kituo kimoja cha burudani eneo la Ruiru yanaendelea kutatanisha huku maafisa wa polisi wakianzisha uchunguzi kuyatanzua. Maafisa wa polisi kutoka kaunti ndogo ya Ruiru wanasema walifika katika kituo hicho wakati kisa kilitokea na wanaendelea na uchunguzi.. Haya yanajiri huku familia ya mtoto caleb odanga ikiendelea kuhangaika kutoka hospitali moja hadi nyingine kutafuta maoni zaidi ya wataalamu wa matibabu ya ubongo ili kuokoa maisha ya mwana wao.