Polisi walaumiwa kwa mauaji ya waandamanaji

  • | Citizen TV
    1,037 views

    Muungano wa wanaharakati nchini umeshutumu vikali matumizi mabaya ya mamlaka na maafisa wa usalama wanapokabiliana na waandamanaji wakisema hatua hiyo inarudisha taifa nyuma katika hatua zilizopigwa kuzuia visa hivyo.