Polisi wamepata mwili wa Tom Osinde mtoni Migori

  • | Citizen TV
    5,451 views

    Mwili wa aliyekuwa mfanyikazi wa hazina ya kitaifa Tom Osinde uliopatikana Migori mapema leo umehamishwa hadi hospitali ya rufaa ya kisii baada ya familia yake kutambua kuwa ulikuwa wake. Maafisa wa upelelezi wanasema huenda osinde aliuawa kwa kudungwa kisu na kupigwa kichwani tarehe 18 mwezi huu siku aliyoripotiwa kutoweka