Polisi wanachunguza uvamizi wa KETRACO Kisii

  • | Citizen TV
    1,049 views

    Maafisa wa polisi kaunti ya Kisii wameanzisha msako wa majambazi waliovamia kampuni ya kusambaza umeme ya KETRACO na kuharibu mali ya thamani ambayo bado haijabainika. Wezi hao walivamia kampuni hiyo kuanzia saa sita unusu alfajiri na kupora vifaa vya kusambaza umeme, hali ambayo ilisababisha giza kaunti nzima ya Kisii.