Pwani: Bahari ndio msingi wa uchumi, chakula, uchukuzi na hata utalii

  • | NTV Video
    143 views

    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya maji duniani, mengi yamejitokeza kuhusu umuhimu wa rasilimali hii inayotajwa kama mhimili wa uhai. Katika kaunti za pwani, maisha ni bahari na bahari ndiyo uti wa maisha. Bahari ndio msingi wa uchumi, chakula, uchukuzi na hata utalii.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

    https://www.ntvkenya.co.ke