Raila Odinga ana umaarufu zaidi kati ya wagombea urais nchini

  • | Citizen TV
    4,712 views

    Mgombea urais wa chama cha Azimio La Umoja One Kenya Raila Odinga na mgombea mwenza wake Martha Karua wanaongoza kwenye kipute cha urais kw amujibu wa kura ya maoni iliyofanywa na kampuni ya utafiti ya TIFA.