Rais awahimiza majaji wapya walioapishwa wafanye kazi kwa uadilifu bila mapendeleo

  • | K24 Video
    29 views

    Rais William Ruto ameambia majaji wapya wa mahakama kuu walioapishwa leo ,wafanye kazi kwa uadilifu bila mapendeleo wala kushurutishwa na yeyote yule wanapofanya maamuzi. Jaji mkuu martha koome aliyewakilishwa na naibu jaji mkuu philomena mwilu katika hafla ya kula kiapo iliyokuwa katika ikulu kuu aidha amesema uteuzi wa majaji hao wapya ishirini utapiga jeki mrundiko wa kesi.