Rais mstaafu Uhuru Kenyatta aitaka serikali kuheshimu chama chake cha Jubilee

  • | K24 Video
    256 views

    Rais mstaafu Uhuru Kenyatta ameitaka serikali kuheshimu chama chake cha Jubilee huku akilaani vikali rabsha iliyotokea leo mchana katika makao makuu ya chama kufuatia vuta ni kuvute baina ya Jeremiah Kioni na kanini kega . Vilevile ametaka polisi kususia kutumiwa kisiasa na badala yake kutatua tatizo la usalama maeneo mbalimbali ya humu nchini. Sasa mmiliki wa nyumba ambayo Jubilee ilikodisha ameamuru apewe nafasi kufuatia kero wanayopata majirani.