Rais Ruto aahidi msaada wa shilingi elfu kumi kwa familia 40,000 zilizoadhirika na mafuriko

  • | K24 Video
    41 views

    Rais William Ruto ameahidi msaada wa shilingi alfu kumi kwa familia 40,000 zilizoadhirika na mafuriko nchini kwa kipindi cha miezi mitatu,vilevile ameahidi kuwapa waadhiriwa wa mafuriko hayo nyumba 20,000 za bei nafuu. Serikali pia imetoa kima cha shilingi bilioni moja katika ujenzi wa dqarasa zilizoharibika na mafuriko hayo jijini Nairobi