Rais Ruto analenga biashara ya M-Pesa iwe kote duniani

  • | K24 Video
    227 views

    Rais William Ruto ametoa hakikisho kwa wawekezaji wa mataifa ya nje kuwa hakuna vikwazo vitakavyowazuia kufanya biashara kenya licha ya kuongeza ushuru kwa wananchi. Akiongea silicon valley, San Francisco, Ruto alidokeza kuwepo kwa ushirikiano kati ya mpesa na kampuni ya kimataifa ya apple kwa ajili ya huduma hiyo kuwa kote duniani.