Rais Ruto asisitiza kuwa hataruhusu uharibifu wa mali

  • | Citizen TV
    1,445 views

    Rais William Ruto amesisitiza kuwa wanaovunja sheria na kuharibu mali watakabiliwa ipasavyo. Akizungumza katika kaunti ya Muranga, Rais alisema kuwa serikali itaweka kila juhudi kuhakikisha kuna amani na utulivu nchini