Rais Ruto ataka mataifa ya Afrika kufutiliwa madeni

  • | Citizen TV
    6,021 views

    Rais William Ruto ameyataka mashirika ya kutoa mikopo kuondolea mataifa ya bara afrika mikopo hiyo ili kuYAwezesha kugharamia juhudi za kupambana na athari Za tabianchi. Akizungumza katika kikao cha marais kwenye kongamano la bara afrika kuhusu tabianchi HAPA NBI, rais ruto pia ameshinikiza mabadiliko kwenye mpango wa dunia wa ufadhili ili kuhakikisha kuwa mataifa yanayohitaji mikopo ndiyo yanayofikiwa na kwa riba ya chini.