Rais Ruto awaonya vikali watakaofanya uhalifu na kuharibu mali

  • | K24 Video
    343 views

    Wanaochochea fujo na uharibifu wa mali wakati wa maandamano sasa watakabiliwa vikali. Rais William Ruto amesema hayo huku akidokeza kuwa vinara wa Azimio wanapania kuhujumu uchumi wa nchi ili wajinufaishe. Rais amesema hayo huku makundi tofauti likiwemo la wabunge waislamu yakijitokeza kupinga maandamano ya siku mbili kila wiki yaliyopangwa na kinara wa Azimio Raila Odinga.