Rais Ruto na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi watia saini mkataba wa ushirikiano wa usalama

  • | Citizen TV
    735 views

    Rais William Ruto na rais wa Msumbiji Filipe Nyusi wametia saini mkataba wa ushirikiano wa usalama kati ya nchi hizi mbili.