Rais wa Chad akutana na kiongozi mpya wa kijeshi Niger

  • | VOA Swahili
    2,101 views
    Rais wa Chad akutana na kiongozi mpya wa kijeshi wa Niger, mjini Niamey. Ziara hii ilikuwa baada ya kiongozi huo wa Chad kuhudhuria mkutano wa ECOWAS mjini Abuja. Ungana na mwandishi wetu akikuletea kwa muhtasari yaliyojiri katika mkutano huo. #Niger #Nijer #coup #MohamedBazoum #Bazoum #AmadouAbdramane #voa #voaswahili #niamey #russia #bendera - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.