Rais William Ruto aahidi kushughulikia masuala ya chakula kote nchini

  • | Citizen TV
    614 views

    Rais William ruto ameahidi kuwa mipango yake ya kuhakikisha kuna chakula cha kutosha nchini itafualu. Ruto amesema wananchi watanufaika na bei nafuu ya vyakula kadri siku zinavyosonga katika serikali ya kenya kwanza. rais amesema hayo wakati wa ufunguzi wa gala la nafaka la kampuni ya grain bulk hundlers katika kaunti ya Nairobi.