Rais William Ruto atia saini kuwa sheria mswala kuhusu ugavi wa mapato mwaka 2023

  • | Citizen TV
    3,010 views

    Rais William Ruto ametia saini kuwa sheria mswala kuhusu ugavi wa mapato mwaka 2023. Rais ametia saini mswada huu katika ikulu ya Nairobi, huku hatua hii ikitoa nafasi ya kuongezwa kwa mgao wa kaunti kwa shilingi bilioni 15. Hii ikimaanisha kuwa kaunti sasa zitapokea shilingi bilioni 385.4 kwa mwaka wa kifedha wa mwaka 2023/2024 ikilinganishwa na shilingi bilioni 370 za sasa.