Sakata ya mbolea ghushi: Kamati ya bunge yaendelea na uchunguzi

  • | TV 47
    144 views

    Kufuatia wasiwasi wa wakulima kuhusiana na utepetevu wa serikali kwa madai ya kusambaza mbolea ghushi, sasa kamati ya bunge ya kitaifa inayosimamia kilimo na mifugo, inataka wakulima wote waliopewa mbolea ghushi kufidiwa. Haya yanajiri huku wabunge wa kamati hiyo wakieleza kuwa wahusika hawatasazwa baada ya uchunguzi kukamilika.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __