Sauti ya vijana

  • | TV 47
    21 views

    Vijana watoa hisia zao kuhusu mwaka mmoja wa utawala wa Rais William Ruto.

    Wex Amos Kamotho (Rais wa wanafunzi Cooperative University): "Ile mifumo ya teknolojia ambayo imekuja tunafaa kuitumia vizuri ili tukija upande wa kazi tufanye vizuri."

    Ahmed Ibrahim (Rais wa wanafunzi MKU):"Naamini kuwa sisi vijana ndio wazee wa kesho. Kupakia vitu kwa mtandao na kujihadaa kuwa haya ndio maisha tunayoishi tunajidanganya."

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __