Seneta Okiya Omtata awasilisha kesi ya sheria ya fedha mahakamani

  • | Citizen TV
    2,388 views

    Seneta wa Busia Okiya Omtata amewasilisha kesi mahakamani na mabadiliko katika malalamishi aliyowasilisha awali dhidi ya kutekelezwa kwa mswada wa fedha mwaka 2023. Mabadiliko hayo yanaibua maswali kuhusu uhalali kisheria wa mswada huo kwa misingi kwamba haukujadiliwa katika bunge la seneti licha ya kuwa unagusia maswala yanayohusu shughuli za kaunti. Haya yanajiri huku chama cha wahadhiri wa vyuo kikijiandaa kuelekea mahakamani kupinga sheria hiyo.